Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>WANACHAMA NA MASHABIKI WA YANGA WAMSHAMBULIA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA BAADA YA KUANDIKA MANENO HAYA MTANDAONI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kitendo cha wanachama wa klabu ya Young Africans kumruhusu mwenyekiti
wao, Yusuph Manji kuikodi klabu hiyo kwa kipindi cha miaka 10
kinaendelea kuwagusa watu wengi na mmoja wapo ni mkuu wa mkoa wa Dar es
Salaam, Paul Makonda ambaye amefikia hatua ya kuandika ujumbe katika
mitandao ya kijamii.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda ameandika “Unataka kujuwa
kwa nini Tanzania ni masikini pamoja na UTAJIRI MKUBWA WA MALIASILI
tulizonazo? Soma Mkataba wa Yanga wanaosaini LEO”
Baada ya kuweka picha hiyo wadau mbalimbali wa soka nchini wamekua
wakianzika maoni yao katika ujumbe wa Makonda, wengine wakimtaka
asizungumze mambo ya Young Africans, na wengine wakimtaka afanye kazi za
serikali na aache kujihusisha na soka na mashabiki wa klabu hiyo nguli
hapa nchini.
Awali Makonda aliweka picha ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement
Sanga na kusema kuwa alikuwa na maswali 87 kwa kiongozi huyo wa Yanga
lakini baada ya kutizama mahojiano aliyofanyiwa, aligundua kwamba
kiongozi huyo bado hajaelewa ni kitu gani kinaendelea klabuni.
Related Posts:
Lema Yupo Gerezani Kwa Sababu Isiyo na Msingi..Ila Hawajui Wanazidi Kumkomaza Kisiasa-Rungwe.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe,
amemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema (Chadema), ambaye
bado yuko mahabusu katika Gereza la Kisongo mkoani Arusha.
Akizungumza na… Read More
Ridhiwani Aanika uhusiano wa Jakaya Kikwete na Lowassa.....Asimulia Jinsi Aliyopigiwa Simu na Baba Yake Baada ya Kupiga Picha na Lowassa.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge
wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni mtoto wa rais mstaafu,
Dkt. Jakaya Kikwete ameeleza uhusiano uliopo kati ya baba yake na Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa bado ni maswahiba.
Ridhiwani
am… Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mkutano wa watendaji Wakuu wa Mashirika ya umma,Ikulu.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa mapema leo 28 Februari 2017, ameongoza mkutano
wa siku moja wa watendaji wakuu na wenyeviti wa bodi za mashirika ya
umma, unaojadili nafasi za mashirika ya Umma katika utekelezaj… Read More
Hali Ilivyo Corner Baa Sinza Baada ya Agizo la Kufungwa Kutokana na Biashara za Machangudoa Kushamiri.Fahamu zaidi hapa.
AGIZO la mkuu wa Wilaya ya Kinondini Mkoani Dar es salaam Ali Hapi,
kuzitaka baa zote zilizopo ndani Wilaya ya Kinondoni zinazojihusisha na
Biashara ya machangudoa kufungwa, Corner Baa ya Sinza Mori Jijini Dar es
Salaam … Read More
Zitto Kabwe Aandika Ujumbee Huu Baada Ya Godbless Lema Kunyimwa Dhamana.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania iliyokaa Arusha kutupa Rufaa
zote mbili zilizofunguliwa na Serikali dhidi ya maamuzi ya Mahakama Kuu
Kanda ya Arusha kuhusiana na dhamana ya mbunge wa Arusha Mjini, Godbless
Lema, … Read More
0 comments:
Post a Comment