Thursday 16 June 2016

Kuna collabo ya Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa inakuja.Fahamu zaidi hapa.

Tanzania meets Nigeria meets SA. Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa wanatarajia kuachia wimbo wao wa pamoja.

Vee Money ambaye kwa sasa yupo Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo utatoka hivi karibuni.
Alishare picha kwenye Instagram akiwa na mastaa hao na kuandika: Who ever said too many cooks spoil the broth, lied. Pori ✖ Ranking ✖Money.”

0 comments:

Post a Comment