Friday 31 March 2017

Kimenuka South Africa..Rais Jacob Zuma Afikiria Kujiuzulu.Fahamu zaidi hapa.

Kutokana na migogoro inayoendelea South Africa ndani ya chama tawala cha African National Congress (ANC), Rais Jacob Zuma anajifikiria kujiuzulu nafasi hiyo mwakani japokuwa muda wake haujaishia.

Nini maoni yako


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment