Friday 31 March 2017

Mahakama Kenya Imeizuia Serikali Kuajiri Madaktari Kutoka Tanzania.Fahamu zaidi hapa.

KENYA: Mahakama imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania kwa sababu ndani ya nchi hiyo kuna Madaktari 1,400 wasioajiriwa.

Mpaka sasa takribani watanzania 400 wenye taaluma ya Utabibu wameomba kazi hiyo.

Rais Magufuli alikubali ombi la kupeleka Madaktari 500 ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya kutokana na mgomo unaoendelea nchini humo.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment