Sunday 26 March 2017

Rais Dkt Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini.Fahamu zaidi hapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi, 2017.

Nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo itajazwa baadaye.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

26 Machi, 2017

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment