Tuesday 28 March 2017

Kudadeki..Wachina Noma Sana Aisee..Tazama Wamejenga Reli Inayopita Ndani ya Maghorofa ya Watu.

Kwa wakazi wa mji mmoja huko China, usafiri wa treni unapatikana barazani kwao, tena ghorofani.
Katika mji wa Chongqing nchini humo, reli ya treni imejengwa kukatiza juu ya nyumba wanamoishi wapangaji.
Chongqing, mji uliopo kusini mashariki mwa China, umefurika wakazi takriban milioni 49, kitu kilichowafanya watu wanaohusika na mipango miji kuwa wabunifu.
Kutokanana hilo walianzisha mradi uliozalisha kile kilichoitwa, Mountain City.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment