Tuesday 28 March 2017

PICHA YA KUANZIA SIKU HII HAPA; AJIBU AKIWATESA WARUNDI WATATU.

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Ibrahim Ajibu akiwatoka walinzi wa timu ya taifa ya Burundi katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.

Ajibu ni mmoja wa wachezaji vijana wa Tanzania wenye vipaji.


Katika mechi hiyo, Taifa Stars ilishinda kwa mabao 2-0 yakifungwa na Simon Msuva na Mbaraka Yusuf.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment