Tuesday 28 March 2017

RONALDINHO ATIMIZA NDOTO YAKE YA KUWA MWANAMUZIKI, AACHIA SINGO YAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Mmoja wa wachezaji gwiji waliowahi  kutokea nchini Brazil, Ronaldinho rasmi ameingia kwenye muziki.

Ronaldinho aliyestaafu mwaka 2015, ameibuka na sing mpya aliyoipa nina la ‘Sozinho’.

Mkali huyo aliyewahi kung’ara akiwa Barcelona, sasa ana umri wa miaka 37 lakini ameamua kutimiza ndoto yake ya kuwa mwanamuziki.


Muziki wake ni katika miondoko ya Samba ambayo ni maarufu nchini Brazil na kama unakumbuka, Ronaldinho mara kadhaa alikuwa akitoroka Barcelona au wakati yupo PSG kwenda kuhudhuria tamasha la muziki wa Samba, kwao Brazil.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment