Tuesday 28 March 2017

Hivi Ndivyo Nape Nnauye Alivyomkabidhi Ofisi Mwakyembe.Fahamu zaidi hapa.

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye leo amekabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Dk Harrison Mwakyembe.
 Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Profesa Elisante Ole Gabriel.
Wengine walioshuhudia makabidhiano hayo ni Naibu Waziri Anastazia Wambura , Naibu Katibu Mkuu Nuru Millao na watendaji wa Wizara

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment