Monday 27 March 2017

Kimenukaa..Hivi Ndivyo Gazeti la Kenya Lilivyomdhalilisha Rais Magufuli.Fahamu zaidi hapa.

Gazeti moja la nchini Kenya linalojulikana kama The Star Kenya limemchora Rais Magufuli katuni na kumuita dikteta kupitia ukurasa wake wa facebook
Udaku Special Blog Tunalaani kwa Kitendo hiki Ambacho Hakimtendei Haki Mhe Rais Magufuli



Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment