PROF.LIPUMBA AKIWA NDANI YA UKUMBI MALA BAADA YA KUINGIA KWA NGUVU UKUMBINI BAADA YA ZUIO LA KUTAKA ASIINGIE KUGONGA MWAMBA
JARIBIO LA KUMZUIA LIPUMBA ASIINGIE UKUMBINI LILIKWAMA NA WANACHAMA KUMUINGIZA KWA NGUVU NDIPO KIKAO KIKAAHIRISHWA MPAKA SAA KUMI NA NUSU HUKU PROF. LIPUMBA AKIENDELEA KUBAKI UKUMBINI. MPAKA SASA SEIF NA MTATIRO HAWAJULIKANI WALIPO, INASEMEKANA WAMEENDA KUCHUKUA MAELEKEZO……..
=========
Updates:
Habari za hivi punde zinasema Mwenyekiti wa Mkutano Mtatiro ameuhairisha hadi hapo utakapotangazwa tena.
Hatua hii ni baada ya kutokea kwa fujo kubwa ukumbini hapo muda si mrefu.
0 comments:
Post a Comment