Asee sikuwahi kudhani kwamba kuna wanawake wenye kipaji cha comedy nimeona kwa Katarina yaani huyu Dada ni shidaa kila nikiangalia vipande vyake vya video nacheka mbavu sina. Alafu cha ajabu haendani na comedy kabisa, ukimuona mtoto mrembo kabisa aisee
Saturday, 13 August 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#BURUDANI>>>>Aunt Ezekiel: Achana na Mimi Wewe Wema Sepetu.Fahamu zaidi hapa. MASTAA wawili waliokuwa mashosti siku za nyuma, Aunty Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wameingia kwenye msuguano tena hivi karibuni huku hali ikionesha kuwa mastaa hao kwa sasa ndiyo basi tena. Hali hiyo imetokea juzi baad… Read More
#BURUDANI>>>HATIMAYE TAMASHA LA FIESTA LAPATA MPINZANI….DIAMOND AANZISHA TAMASHA LAKE..KUMLETA STAR HUYU WA MAREKANI.FAHAMU ZAIDI HAPA. Katika kusherehekea Christmas mwaka huu, WCB wanatarajia kufanya show yao ya kwanza wakiwa pamoja, December 24 iliyopewa jina Wasafi Beach Party jijini Dar es Salaam. Wasanii wote wa label hiyo wakiongozwa na Diam… Read More
#BURUDANI>>>>KAULI ya Basata Kuhusu Video Mpya ya Wimbo wa Rich Mavoko na Diamond Platnumz.Fahamu zaidi hapa. Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ambalo husimamia wasanii pamoja na kazi zao ikiwa ni wasanii wa filamu pamoja na wale wa muziki limesema kuwa linapitia video mpya ya mwanamuziki Rich Movoko aliyomshirikisha Diamond Pla… Read More
#BURUDANI>>>>ALI KIBA Ashinda Tuzo za NAFCA na The Nol.Fahamu zaidi hapa. Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Ma… Read More
#BURUDANI>>>Waziri Nape Nnauye Alitembelea Kundi la Wasafi Classic Linaloongozwa na Diamond Platinumz.Fahamu zaidi hapa. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye ametembelea ofisi za Kundi la musiki wa kizazi kipya la Wasafi. Pamoja na mambo mengine uongozi wa kundi hilo umemuomba waziri huyo kushughulikia… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment