Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Msanii Ruby na Clouds FM Hapatoshi..Aikacha Show ya Fiesta Mwanza Kisa Maslahi Madogo.Fahamu zaidi hapa.
Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana
Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa
wasanii waliosajiliwa...
Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika
Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi
yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na
kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my
future.Katika shindano la super diva ilikuwa super diva mshindi atafanya
Fiesta, wakati umefika lakini ntafanya Fiesta for nothing? Mimi sitaki
kuongelea price ambayo naipata sababu nahisi nikiongea sijui watu
watajiskiaje ukubwa wa show ulivyo. ...Tunakuwa na menejiment ambazo
zinaendesha wasanii kimabavu, unadhani kwanini @jidejaydee wanamuita
komando??
JE Mdau Unaona Huo Ndio Mwisho wa Ruby ? Au Clouds FM ndio wanamakosa... ?
Kwanza migogoro ilianza na Mkubwa na Wanawe , Sasa imegeuka kwa Clouds
FM ambao ndio waliomtoa na kumkuza mpaka hapo alipo sasa....
Related Posts:
Diamond, Tudd Thomas Washinda Tuzo Nigeria.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Muandaaji wa muziki, Tudd Thomas wote kutoka Tanzania wameshinda tuzo za African Entertainment Legends Awards (AELA) jana Desemba 3, 2017 jijini Lagos, nchini Nigeria.Dia… Read More
Uwoya Amnyima Penzi Dogo Janja Tangu Ndiku Afariki.
Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara nyingi hupenda kumkwepa kwepa ja… Read More
Shamsa Ford Amfunda Shilole "Kuwa Mke Bora kwa Mumeo Ustar Weka Pembeni".
STAA wa Filamu nchini, Shamsa Ford amefungukia uamuzi wa msanii mwenzake wa Muziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole kwa kuamua kufunga ndoa tena ya Kidini na mpenzi wake, Uchebe ndoa iliyoshuhudiwa hivi karibuni na kut… Read More
Dully Sykse Atokwa Povu Kisa Bomberdier Atangaza Vita kwa Wasanii Wenzake.
ETI kisa Bombardier! Mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykse ametoa povu ikiwemo kutangaza vita na wasanii wa kizazi kipya kwa sababu ya kushindwa kumsapoti kwenye wimbo wake mpya.Dully Sykes ambaye ameachia wimbo mpya w… Read More
Shilole Harusi Yangu Ipo Pale Pale Mwezi Huu.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa mwaka 2017 kumalizika, msanii Shilole amezidi kusisitiza azma yake ya kufunga ndoa kwa mwaka huu ipo pale pale.Mwishoni mwa weendend iliyomalizika katika sherehe ya ndoa ya Dj wa Clouds Media, D… Read More
0 comments:
Post a Comment