Home »
Habari Moto
» #BURUDANI>>>>Wema Sepetu na Petit Man Wamaliza Tofauti zao.Fahamu zaidi hapa.
Kwa miezi kadhaa sasa Wema Sepetu na Petit Man walikuwa wakichuniana
hadi kuwafanya mashabiki waanze kuuliza maswali kupitia mitandao ya
kijamii kutaka kujua kunani!
Lakini usiku wa August 16, wawili hao walionekana wakijirekodi video
fupi na Wema akaiweka katika account yake ya SnapChat. Baadaye
kulivyokucha Wema alionekana kupost video clip ile ile ya SnapChat
kwenye Instagram kuandika hivi: Yes…! He has a piece of me…
@officialpetitman_wakuachetz”
“Mimi sidhani kama nina tatizo na Wema. Ndiye aliyenifanya mimi
nijulikane na Wema ndiye mtu ambaye mimi nimetoka naye mbali sana miaka
tisa. Kwahiyo hata kama nikiwa nimegombana naye siwezi nikasema siongei
naye, kwahiyo mimi nahesabia sina tatizo naye kama watu wanavyodhani,”
alisema.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>JWTZ LAANDAA SEMINA YA WAKUU WA KAMANDA WA MAJESHI YA NCHI KAVU AFRIKA.Fahamu zaidi hapa. JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA T… Read More
#YALIYOJIRI>>>Magari ya Washawasha Yazua Mjadala Bungeni.Fahamu zaidi hapa.
Magari
ya washawasha jana yaliibua mjadala bungeni baada ya mbunge wa Viti
Maalumu, Susan Lyimo (Chadema) kubanwa athibitishe kauli yake aliyoitoa
kuwa serikali ilinunua magari ya Polisi ‘Washawasha” 777 wak… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mpinzani wa Museveni , Dr Kiiza Besigye Akamatwa Baada ya Kujiapisha Kuwa Rais.Fahamu zaidi hapa.
Mpinzani
mkuu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Dk. Kizza Besigye ambaye
amekuwa akipinga ushindi wa Rais huyo, amekamatwa na polisi wa nchi hiyo
baada ya jana kujiapisha kuwa Rais ikiwa ni siku moja tu (leo) kabla ya
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mtoto wa marehemu, Chacha Wangwe afikishwa kortini kwa makosa ya kimtandao.Fahamu zaidi hapa.
BOB
Chacha Wangwe (24), mtoto wa mwanasiasa marehemu Chacha Wangwe,
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za
kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
Akisoma
kesi hiyo namba 16… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli , Samia na Kassim Majaliwa Ziarani nje kwa Mpigo - Mwanasheria mkuu atoa ufafanuzi kuhusu kaimu Rais.Fahamu zaidi hapa.
Viongozi wakuu wote wa Taifa wako nje ya nchi katika ziara za kiserikali kwenye mataifa tofauti.
Rais
John Magufuli aliwasili Uganda jana asubuhi kuhudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo, Yoweri … Read More
0 comments:
Post a Comment