Je unamjua Vizuri Zari Hassan Mama Mtoto wa Mwanamuziki Diamond Platnumz?
Video hii Hapa chini itakupa kujua Zari ni Nani pamoja na thamani ya utajiri wake
Tazama Video:
Kuolewa Mke wa Pili si Dhambi- Tausi Mdegela.
KOMEDIANI matata wa Bongo Movies, Tausi Mdegela amefunguka kuwa,
ikitokea akapata mwanaume wa kumuoa, hata kama ana mke haina shida
kuolewa mke mwenza au wa pili kwani kama ni Muislam, dini inaruhusu.
Tausi alifunguka h…Read More
TID: Kuwa Karibu na Makonda Kumenifanya Nikose Show.
Msanii wa muziki, TID amelalamika kuwa baadhi ya watu wanamfanyia figisu
figisu ili asipate show kutokana na ukaribu wake na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Paul Makonda.
Muimbaji huyo amefunguka hayo katika kipindi cha E…Read More
0 comments:
Post a Comment