Mbunge
wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameshtakiwa kwa makosa matatu la
kwanza kutoaa maneno ya uchochezi kwamba Agosti 2 katika Mahakama ya
Kisutu kwa nia ya kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya Rais na Serikali
alitoa maneno ya uchochezi.
Shtaka la pili pia uchochezi kwamba Agosti 2 katika mahakama hiyohiyo kwa nia ya kudharau mhimili wa utoaji haki, alisema kuwa hawezi kufungwa kwa mashtaka na kesi ya upuuzi na shtaka la tatu ni la kudharau mahakama akidaiwa kuwa tarehe hiyohiyo mahakamani hapo, alitoa maneno ya uchochezi kuwa hawezi kufungwa kwa kesi na mashtaka ambayo ni upuuzi na ya kimagufulimagufuli
0 comments:
Post a Comment