Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>Habari Njema Kwa Mashabiki wa Man United Kuhusu Usajili wa Mchezaji Paul Pogba Hii Hapa.Fahamu zaidi hapa.
Headlines za kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu
ya Juventus ya Italia Paul Pogba kuhusishwa kujiunga na Man United,
zinaelekea kumalizika kwa kiungo huyo kurudi Man United toka aondoke
mwaka 2012.
Leo August 7 2016 klabu ya Juventus ambayo ilikuwa inahitaji rekodi ya
dunia ya usajili ya pound milioni 100 kama ada ya usajili wa staa huyo,
imemruhusu staa huyo kufanya vipimo vya afya Man United.
Pogba ambaye ana umri wa miaka 23 aliondola Man United 2012 na kujiunga
na Juventus kwa dau la pound milioni 1.5, Pogba amefanikiwa kushinda
mataji manne ya Ligi akiwa na Juventus. Pogba atakuwa staa wa nne
kusaliwa Man United chini ya Jose Mourinho baada ya Eric Bailly,
Ibrahimovic na Henrikh Mkhitaryan.
Related Posts:
KWA AJILI YA MGHANA, KOCHA JOSEPH OMOG ALAZIMIKA KUPANGUA KIKOSI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Benchi
la ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Joseph Omog, limeridhishwa na
kiwango cha kiungo Mghana, James Kotei ambaye amepewa mwaka mmoja.
Kiungo
huyo maarufu kama Mzima Swichi, anamudu kucheza nafasi ya… Read More
NAMNA SIMBA ILIVYOPOKELEWA NA GARI KWA KUSUKUMWA NA MASHABIKI WA LINDI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Katika
hali isiyotarajiwa, jana Alhamisi mashabiki wa Yanga walioungana na wa
Simba, kwa pamoja kuipokea timu ya Simba ilipowasili mkoani Lindi
ilipokuwa inaelekea Mtwara kucheza dhidi ya Ndanda.
Simba
ambayo keshok… Read More
Ngassa: Najua Kuna Maneno na Minong’ono Mingi Kuhusu Uwezo Wangu Muda si Mrefu yataisha.Fahamu zaidi hapa.
Hatimaye mchezaji Mrisho Ngassa aliyekuwa anacheza soka la kulipwa
kwenye klabu ya Fanja Fc ya Oman, amemwaga wino kuitumikia klabu ya
Mbeya City fc akiungana na nyota wengine 9 waliojumishwa kikosini kwenye
usajili wa d… Read More
#EXCLUSIVE>>>>HATIMAYE YAMETIMIA, NGASSA AMWAGA WINO KUKIPIGA MBEYA CITY.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale, hatimaye mshambuliaji Mrisho Ngassa ametua Mbeya City.
Ngassa amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Mbeya City, maana yake itakuwa naye katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Ba… Read More
LYON YAIKAMATA AZAM FC, MAJIMAJI YALOWA, MBAO FC YAWARANDA MAKONDA WA SHINYANGA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Azam FC imeanza mzunguko wa kwanza kwa
sare ya bila bao dhidi ya African Lyon katika mechi iliyopigwa kwenye
Uwanja wa Uhuru jijini Dar.
Wakati Azam FC ikianza kwa sare hiyo,
Prisons imetwanga Majimaji kwa bao 1-0 ka… Read More
0 comments:
Post a Comment