Dakika 90 Za mchezo wa kirafiki Kati ya Ruvu shooting na City zimemalizika Kwa wenyeji kushinda 1-0, bao Hilo limefungwa Kwa njia ya penalti kwenye dakika ya 49.
Monday, 1 August 2016
#MICHEZO>>>MBEYA CITY YATOA KICHAPO KWA RUVU SHOOTING HII LEO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
PICHA:Urembo wa Muamuzi Wasababisha Wachezaji Kushindwa Kucheza Mpira.Fahamu zaidi hapa. Brazil ni moja ya nchi zilizobarikiwa na warembo matata. Wiki hii katika mechi iliyochezwa na klabu ya Desire dhidi ya Sporting katika mchezo ambao usio na ligi, lilikuwa kwa mshika kibendera wa kike ambaye alikuwa anach… Read More
Hivi ndivyo itakavyokuwa nusu fainali MabingwaUlaya.Fahamu zaidi hapa. Droo ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa imekamilika na Real Madrid atakutana na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua hiyo. Nusu fainali ya pili, itakuwa ni AS Monaco dhidi ya Juventus mechi ya kwanza ikipig… Read More
YANGA YAANZA KUNUKIA, SPORTSPESA KUMWAGA MANOTI.FAHAMU ZAIDI HAPA. Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii IKIWA katika hali ya kuyumba kiuchumi na kushindwa kuwalipa wachezaji wao mishahara kwa wakati, neema imeanza kuwaangukia baada ya kampuni ya SportsPesa ya Kenya kutaka kuwamw… Read More
SIMBA WAMTAKA JAMAL MALINZI AJIUZULU TFF, ABAKI NA UENYEKITI WA MKOA WA KAGERA, HAYA NDIYO ALIYOYASEMA MANARA.FAHAMU ZAIDI HAPA. Uongozi wa Klabu ya Simba imemtaka Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujiuzulu kwenye nafasi yake hiyo na kubakia kama Mwenyekiti wa Soka wa Mkoa wa Kagera. Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema k… Read More
ABDI Banda Sasa Huru Kuitumikia Simba.Fahamu zaidi hapa. Beki wa Simba Abdi Banda hivi sasa yupo huru kuitumikia klabu yake ya Simba baada ya leo adhabu yake kutangazwa kumaliza kutumikia adhabu yake . Mchezaji huyo alifungiwa na Bodi ya Ligi baada ya kumpiga ngumi mche… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment