Saturday, 20 August 2016
#MICHEZO>>>>Mo Dewji Aanza Na Mishahara Simba SC.Fahamu zaidi hapa.
MFANYABIASHARA anayetaka kununua hisa ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameanza kasi ya kuitumikia klabu hiyo ya Simba kwa kuanza kulipa mishahara ya wachezaji kuanzia mwezi huu huku suala la kununua hisa likitarajiwa kukamilika ndani ya mwaka mmoja.
Related Posts:
VIDEO: Sababu iliyofanya uchaguzi Mkuu wa TFF kusitishwa leo. Wakati headlines za hatma ya Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake Selestine Mwesigwa zikiendelea kutawala wakiwa chini ya mikono ya sheria kwa tuhuma mbalimbali, headlines mpya zimeib… Read More
MALINZI, MWESIGWA WAKOSA TENA DHAMANA, WARUDISHWA RUMANDE. Malinzi na Mwesigwa walifikishwa leo mahakamani Kisutu kwa mara ya pili na kurejeshwa rumande hadi kesi yao itakaposikilizwa kwa mara nyingine Julai 17, mwaka huu. Wawili hao wanakabiliwa na mashitaka mbalimbali ku… Read More
TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP, MAGURI SHUJAA. Taifa Stars imetinga nusu fainali ya michuano ya Cosafa baada ya kuwatwanga wenyeji Afrika Kusini kwa bao 1-0. Shuja wa mechi hiyo ambaye ameibuka nyota wa mchezo huo amekuwa ni Elius Maguri ambaye amefunga bao hilo p… Read More
VIDEO:Kichapo alichopewa South Africa na Taifa Stars Cosafa hiki hapa. Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa &n… Read More
TASWIRA; BONDIA WA AUSTRALIA ALIVYOISHANGAZA DUNIA KWA KUMTWANGA PAQUAIO. Bondia wa Australia, Jeff Horn kwa kubeba ubingwa wa WBO uzito wa welter akimtwanga gwiji Manny Pacquiao. Pacquiao amepoteza pambano hilo la raundi 12 kwa pointi 117-111, 115-113, 115-113 . Kumekuwa na mjadala … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment