Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>> WAZIRI MWINGINE AJIUZURU KWA AJILI YA ULEVI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Waziri wa elimu nchini Sweden amejiuzulu wadhifa wake baada ya kupatikana akiendesha gari akiwa mlevi.
Bi Aida Hadzialic, ambaye amekuwa waziri wa elimu ya sekondari na
elimu ya watu wazima, amejiuzulu baada ya kukamatwa na polisi Malmo.
Kwenye taarifa iliyoonyesha hisia nyingi, Bi Hadzialic , ambaye ndiye
mtu mchanga zaidi kuwahi kuteuliwa waziri nchini humo, amesema sharti
awajibike kwa alichosema ni kosa kubwa zaidi alilowahi kulifanya
maishani mwake.
Alipimwa na kugunduliwa kwamba alikuwa tu amepitisha kidogo kipimo kinachoruhusiwa cha unywaji pombe.
Sweden huwa na sheria kali sana za kuzuia uendeshaji gari mtu akiwa amelewa.
Bi Hadzialic, aliyehamia Sweden kama mkimbizi Mwislamu kutoka Bosnia
Herzegovina akiwa mdogo, amesema alikuwa amekunywa gilasi mbili pekee za
mvinyo.
Related Posts:
Picha 10 za Muonekano wa Jiji la Dar Baada ya Mvua Kubwa Kunyesha.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&n… Read More
Lowassa Akawaribisha UKAWA Kina Sophia Simba Waliovuliwa Uanachama CCM .Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amekaribisha waliokuwa wanachama wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa
Wanawake (UWT), Sophia Simba kujiunga na Vyama vinavyounda Umoja wa
Katiba … Read More
#BREAKING NEWSS>>>>WATANGAZAJI 6 WA TBC WASIMAMISHWA KAZI ,BAADA YA KUTANGAZA TAARIFA YA UONGO AKIWEPO Gabriel Zhakaria.Fahamu zaidi hapa.
Watangazaji 6 wa TBC 1 walioandaa,
walioandika na kutangaza habari juu ya Rais wa Marekani Donald Trump kumsifia Rais Magufuli wamesimamishwa kazi.
Mkurugenzi wa TBC Ayubu Ryoba alikasirika sana na kuamua kuwasimamisha w… Read More
Makonda azindua barabara Jijini Dar es Salaam Leo.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema jiji la Dar es Salaam
linatakiwa kubadilika katika kufikia viwango vya majiji ya kimataifa.
Makonda
ameyasema hayo leo wakati akikabidhiwa barabara ya kurasini i… Read More
Jakaya Azindua Kikwete Foundation. Wamo Sefue, Mkandara, Bakhressa na Waziri wa Malaysia..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dr Jakaya Kikwete anazindua taasisi yake
muda huu. Miongoni mwa timu ya taasisi hiyo ni Prof Mahalu ambae ni
daktari bingwa wa moyo, Mkandara na Ombeni Sefue huku Kikwete akiwa
mwenyekiti w… Read More
0 comments:
Post a Comment