Friday, 12 August 2016

#YALIYOJIRI>>>Prof. Baregu aongoza kongamano la BAVICHA.Fahamu zaidi hapa.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Mwesiga Baregu (kulia), akizungumza katika kongamano la Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha), ikiwa ni maadhimisho ya siku ya vijana duniani lililofanyika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo mchana. Kushoto ni mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila.
 Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila akichangia mambo mbalimbali.
 Meza kuu katika kongamano hilo.
 Mkutano ukiendelea.
 Mada zikiendelea kutolewa.
 Wanahabari wakichukua taarifa mbalimbali.
Usikivu ukiwa umetawala katika ukumbi huo.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment