Saturday, 13 August 2016

#YALIYOJIRI>>>SERIKALI RAMANI YA JIJI LA DAR,KUTOKA MWISHONI MWA MWAKA HUU.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Serikali kutoa ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka huu itakayolifanya kuwa jiji la kibiashara na kuruhusu ujenzi wa maghorofa makubwa katika maeneo ya karibu na Ikulu pamoja na meneo mengine muhimu yaliyokuwa yanamilikiwa na serikali.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment