Thursday, 11 August 2016

#BURUDANI>>>FIESTA IMOOOOO YAFANYA USAJIRI RASMI WA WASANII WATAKAO TUMBUIZA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Kampuni ya clouds media leo imesajiri rasmi wasanii mbalimbali wa bongo flava na hip hop kwa ajiri ya kutumbuiza katika takribani mikoa 15 ya Tanzania bara tamasha hilo litakapopita.nimekusogezea hapa video ya jinsi zoezi hilo lilivyofanyika na maoni ya baadhi ya wasanii.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment