Baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Shilole aliamua kukaaa muda kabla ya kumtambulisha mpenzi mpya..Siku ya leo zimezagaa picha mbali mbali ambazo zinaonyesha Shilole na Mwanaume ajulikanaye kama Hamadai wakiwa chumbani faragha ikimaanisha wenyewe ndio wameamua zitoke mtandaoni na kuanzia sasa penzi lao si siri tena.
Sunday, 14 August 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Kweli Penzi si Kikohozi, Shilole Amuonyesha Mpenzi Wake Mpya Kistaili.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>Kweli Penzi si Kikohozi, Shilole Amuonyesha Mpenzi Wake Mpya Kistaili.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Wema Sepetu Atangaza Kupumzika Instagram Kwa Muda...Maneno Maneno Yamkimbiza.Fahamu zaidi hapa. Maskini Watu wanaingilia life ya Wema Sepetu mpaka ametangaza kujitoa Insta kwa muda....Chaaa!!!! Waliokuwa Marafiki zake na Timu Wema hali si shwari, Munalove na Hope wanashutumiana kumsengenya Wema na kumuendea kwa mga… Read More
Wema Sepetu Amuandikia Ujumbe Miss Tanzania Mpya.Fahamu zaidi hapa. Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amedai mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016, Diana Edward alistahili kuchukua taji hilo. Kupitia Instagram, Wema ameandika: When You Nailed that question Properly, I knew that The Crow… Read More
Linah Adai Amejaribu Kumweka Sawa Recho Lakini Ameshindwa.Fahamu zaidi hapa. Msanii wa muziki Linah Sanga amedai kuwa amejaribu kuzungumza na msanii mwenzake Recho ili kumrudisha kwenye nafasi yake lakini ameshindwa. Linah na Recho Akiongea katika kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV wiki hii, Lina… Read More
Barua ya Tupac Kuuzwa Shilingi Milioni 378.Fahamu zaidi hapa. Ni miaka 20 tangu afariki rapper mkongwe, Tupac. Na sasa barua ambayo aliiandika, mwenyewe inatarajiwa kuuzwa kwa kiasi cha $172,750 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 378 za kibongo. Kampuni ya Goldin Auctions, imesema… Read More
Mkenya Aibuka Mshindi wa Maisha Plus.Fahamu zaidi hapa. Olivie Kiarie wa Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki. Ushindi huo umempa Olive kitita cha shilingi milioni 30 za Kitanzania. Shindano la Maisha Pl… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment