Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Nicki Minaj Ambwaga Meek Mill..Chanzo Cha Kumwagana Hichi Hapa.Fahamu zaidi hapa.
Mastaa waliokuwa wapenzi kwa zaidi ya miaka miwili Meek Mill na Nicki Minaj wametengana.
Watu wa karibu na Couple hii wanasema Meek Mill amekuwa na maisha
tofauti na Minaj huku Meek akitaka zaidi kuendelea na maisha yake ya
mtaani na masela na Minaj akitaka kumbadilisha ili aishi kistaa zaidi.
Maisha ya zamani ya wasanii hawa wawili yanafanana ila Minaj hataki tena kuwa mtu wa HOOD sana ila Meek bado yuko ki HOOD sana.
Mpaka sasa wawili hawaja sema chochote kuhusu Taarifa hizi.
Related Posts:
Diamond Aaamua Kumfanyia Baba Yake Jambo Hili Ambalo Hatakuja Kulisahau Maishani Kamwe..!!!..Fahamu zaidi hapa.
DA
ES SALAAM: Baada ya juzikati kupatikana taarifa kuwa mwanamuziki,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatana na baba yake mzazi, Abdul
Juma, inadaiwa kuwa katika sherehe ya kutimiza siku 40 ya mtoto wa
Diamond aitway… Read More
Rasmii: Lulu Aamua kutangaza 'Mahaba Niue' Kwa Ali Kiba,Soma Hapa Alichokisema 'LIVEE'..!!..Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa filamu nchini Lulu Michael ambaye wiki hii alikuwa akitangaza
kipindi cha 'NgazKwaNgaz' alifunguka na kuweka wazi kuwa msanii Ommy
Dimpoz na Alikiba ni watu ambao wamekuwa wakifanya vizuri kila
wanapokutana.&n… Read More
Huyu Shilole Huyu..!!,Tazama Hapa List ya Wanaume Aliotembea Nao Ujionee Jinsi Shis Baby Alivyomcharuko..!!..Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya misukosuko ya kupanda na kushuka kwa
matukio mengi, tayari mchakamchaka wa 2017 umeanza, katika burudani ya
kizazi kipya mwishoni mwa mwaka uliopita msanii Darassa ndiye alikuwa
habari ya mjini.
Miezi 12 … Read More
Diamondplatnumz na kundi lake la WCB laweka record ufunguzi wa michuano ya AFCON 2017 huko Gabon.Fahamu zaidi hapa.
Diamondplatnumz akiwa na kundi lake la WCB kwenye stage ya Uwanja wa Stade d'Angondjé, wasanii
wakitoa burudani ya
ufunguzi wa michuano ya AFCON 2017. huko Gabon
JIONEE SHOW HAPA CHINI.
A video posted by… Read More
Duh Hii Ndiyo Kik Ya Mwaka: Harmonize Feki Aaamua Kutoka na Wolper Feki Ili Wafanane na Harmonize Halisi,Tazama Pichaz Hapa..!!..Fahamu zaidi hapa.
Harmorapa na Wolper Feki.
Msanii
chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka
WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’,
Harmorapa, leo ametinga kwenye Ofisi za Global P… Read More
0 comments:
Post a Comment