Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili
iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari
Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni Baba
Mchungaji na Mama Mchungaji....
Baadhi ya Comments kwenye picha hizo hizi Hapa:
"Wachungaji wa mwendo kasi.."
"Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza
kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa
kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na
hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi
wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza
kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha
yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa
Mungu aliye hai????"
"Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone"
"Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa
Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila
sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja"
"The Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!"
"Dah!Mke wa masanja ana ugonjwa wangu kwa kweli"
Na wewe toa Maoni yako:
Related Posts:
Hatma ya Chege na Temba Sasa Hadharani..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amesema yuko mbioni
kukata kiu ya mashabiki wa 'Chege na Temba' kwani bada ya kutoa ngoma
yake ya Kelele za Chura, ngoma inayofuata ni yake na swahiba wake Mh.
Temba kuto… Read More
Kauli ya Vanessa Mdee Baada ya Kutajwa na RC Makonda Kwenye Listi ya Wahusika wa Madawa ya Kulevya.Fahamu zaidi hapa.
Iliwashangaza
wengi baada ya Vanessa Mdee naye kutajwa kwenye orodha ya Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya mastaa wanaohusishwa na biashara ya
madawa ya kulevya.
Ni shutuma nzito, na hata kabla uthi… Read More
Madaha Ajikosha, Ampa Tano Makonda..!!..Fahamu zaidi hapa.
MWANAMUZIKI Baby Joseph Madaha amefungukia uamuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda wa kuanza kudili na wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya akisema kuwa, huenda ikasaidia mastaa wengi kubadilika. Akipiga stori na … Read More
DIAMOND AMWAALIKA RC MAKONDA NA WEMA SEPETU KWENYE 40 YA MTOTO WAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
DIAMOND AMWAALIKA RC MAKONDA NA WEMA SEPETU KWENYE 40 YA MTOTO WAKE
WALIOTAJWA HAPO WANAOMBWA KUFIKA NYUMBANI KWA BWANA NASIBU TEGETA MADALE JUMAMOSI HII.....!!!!MAJINA MENGINE YATATAJWA KESHO MAPEMA.....!!!!ASANTE
… Read More
Nape aingilia kati sakata la wasanii wa ‘unga’..Aongea Mazito ..Msikilize hapa.Fahamju zaidi hapa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameingilia
kati na kutaka busara itumike katika zoezi la kutaja wasanii wanaohusika
na dawa za kulevya linalofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul
Makonda
… Read More
People should stop judging, wawaache watu wapo honeymoon jamani... Kahh
ReplyDelete