Home »
Burudani
» Isabela ala bata Uganda na Ex wa Aunt Ezekiel, Jack Pemba.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa filamu Aunty Ezekiel, Jack Pemba
ameonekana akila bata nchini Uganda na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa
Luteni Karama, Isabela Mpanda.
Muimbaji huyo wa Kundi la Scorpion Girl pamoja na wenzake wapo nchini
Uganda kwa ajili ya tuzo za Uganda Entertainment Award ambazo
zinafanyika weekend hii.
AuntJack
Jack Pemba akiwa na mpenzi wake wa zamani Aunt Ezekiel
Mfanyabishara huyo maarufu ameithitishia Bongo5 kutoka na mrembo huyo.
“Wiki ijayo nakuja Dar es salaam, sasa hivi nipo na baby wangu, huyu ndio kila kitu kwangu,” alisema Jack Pemba.
Related Posts:
Uuwii...Umemsikia Jike Shupa..Eti Anadai Haogopi Ukimwi 'so' Haoni Shida Kubadili Wanaume Kama 'Chupi'.Fahamu zaidi hapa.
HAMNAZO! Msanii muuza sura katika video za Bongo Fleva, Zena Abdallah
‘Jike Shupa’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai haogopi Ukimwi kwa kuwa
ni ugonjwa wa kawaida, ndiyo maana amekuwa akibadili wanaume ovyo bila
wasiw… Read More
Harmonize: Sijui kama Diamond aliwahi kuwa na uhusiano na Wolper.Fahamu zaidi hapa.
Harmonize ameendelea kusisitiza msimamo wake kuwa hajawahi
kusikia kama Diamond na mpenzi wake Jacqueline Wolper waliwahi kuwa na
mahusiano.Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM,
muimbaji huyo amek… Read More
Exclusiveee..Lady Jaydee, Mnigeria Wamwagana....!!!!.Fahamu zaidi hapa.
KIMENUKA! Miezi michache tu baada ya mkongwe wa Muziki wa Afro Pop
Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ kumtambulisha ‘baby’ wake mpya, raia
wa Nigeria aliyejitambulisha kwa jina moja tu la Spicy, fununu zinadai
kuwa pen… Read More
Alichokisema Wema Sepetu Baada ya Rais Magufuli Kumtetea Makonda Leo.Fahamu zaidi hapa.
Wema Sepetu Kupitia moja ya Account zake za kijamii ameandika ujumbe
ambao dhahiri shari kuwa unamuelekea Rc Makonda kwa njia ya mafumbo
ameandika hivi
Ukiona twiga anaringa mbugani basi ujue simba bae wake,,,,
Dow… Read More
Afande Sele Amfananisha Bashite na Tumbili Aliyemaliza Kurukia Miti yote na Sasa Ameamua Kumrikia Anayemfuga.Fahamu zaidi hapa.
Msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo fleva Mwana Hip Hop Afande Sele
TheKing ametoa ya moyoni baada ya Kuibuka Tetesi za Uvamizi wa Clouds
Media.Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Msanii huyo ambaye ndie mfalme wa
kwanza wa M… Read More
0 comments:
Post a Comment