Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Ajali Yaua 1 Maeneo ya Mlimani City Dar.Fahamu zaidi hapa.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitokea ajali mbaya ya gari
ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na
lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta kilichopo jirani na
mataa hayo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, gari ndogo ilikuwa ikiendeshwa na
mwanamke ambaye mwili wake haukuweza kuokolewa kutokana na kubanwa.
Alipopigiwa simu ili kufafanua kama amepata taarifa za ajali hiyo,
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni amethibitisha kutokea kwa ajali
hiyo na kusema kuwa mtu mmoja ndiye aliyefariki na kueleza kuwa yupo
kwenye kikao hivyo taarifa kamili ataitoa baadaye.
Related Posts:
Ukimuona Paul Okoye wa kundi la P-Square akiwa amevaa kofia ya WCB na yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu mwanzoni mwa wiki hii kuzindua video ya Colors of Africa, ujue mambo yameiva.Fahamu zaidi hapa.
Paul amepost picha Instagram akiwa amevaa kofia nyeupe ya WCB, label
ya Diamond na kuashiria kuwa huenda wiki hii wakali hao wakashoot video
ya collabo yao. Diamond aliingia studio na P-Square mwaka jana.
Kituo cha runi… Read More
#YALIYOJIRI>>>HIKI NDO CHUO KIKUU BORA ZAID AFRIKA...UDSM YAPOROMOKA SANA, KENYA NA UGANDA ZATUZIDI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
University of Cape Town ranked best University in Africa
South Africa’s University of Cape Town has once again been ranked the
best university in Africa ahead of second placed University of the
Witwatersrand, also… Read More
#YALIYOJIRI>>>>TAKUKURU Yaanza Kuchunguza Mabilioni ya Kikwete.Fahamu zaidi hapa.
Taasisi
ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuchunguza fedha
za uwezeshaji maarufu kama ‘Mabilioni ya JK’ ambazo hazikurejeshwa na
wakopaji nchi nzima.
Msemaji
wa Takukuru, Tunu Mleli alisema ja… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Bomba la Mafuta Kutoka Uganda kuingiza Bilioni 4.8 Kila Siku.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa mradi wa
ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga ukikamilika
utaliingizia Taifa Sh4.8 bilioni kila siku.
Amesema
fedha hizo zitat… Read More
#YALIYOJIRI>>>>CAG Kuanika Mafisadi Bungeni Leo Wakati Akiwasilisha Ripoti Yake.Fahamu zaidi hapa.
Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) leo anawasilisha bungeni
ripoti ya mwisho ya ukaguzi wa hesabu za serikali ya mwaka 2014/15.
Ingawa
haijajulikana rasmi nini kilichomo ndani yake, baadhi y… Read More
0 comments:
Post a Comment