Home »
Habari Moto
» Kufanya Mapenzi na Binamu ni Halali Kenya..Mahakama Yapitisha.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama ya juu nchini Kenya imehalalisha ngono baina ya mabinamu kwa sababu inakubalika katika baadhi ya jamii nchini humo.
Mahakama hiyo imemuachilia huru mtu mmoja aliyekuwa amefungwa kwa kosa
la kushiriki ngono na binamu yake mwaka wa 2014 kwa sababu sio makosa
nchini Kenya.
Jaji wa mahakama ya juu James Makau, alisema katika uamuzi kuwa kujamiana kwa maharimu sio haramu nchini Kenya.
''Ibara maalum inachoshughulikia ngono ya maharimu hajata binamu kuwa
mmoja wa wale ambao kujamiana nao ni haramu maksudi, kwa sababu baadhi
ya jamii nchini Kenya zinaruhusu sio tu ngono bali hata ndo baina yao''
Jaji wa mahakama ya juu James Makau, alisema katika uamuzi kuwa kujamiana kwa maharimu sio haramu nchini Kenya.
''jamii ya wahindi, waislamu na baadhi ya makabila humuhumu Kenya hukubali ndoa baina ya mabinamu'' alisema jaji Makau.
Bwana huyo ambaye anatambulika kama WOO alikamatwa mwaka wa 2014 kwa
kushiriki ngono na mpenzi wake wa kike ambaye pia ni binamu yake na
akahukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani.
''Kwa ufupi hakuna ushahidi wowote uliotolewa kuthibitisha kuwa ngono
baina ya wawili hao ni kinyume cha sheria na kwa sababu hiyo ninaamuru
mtu huyo aachiwe huru mara moja'' hukumu ya jaji Makau.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Paul Makonda Na Meya Wa Kinondoni ( Chadema ) ' Washikana Mashati ' Kuhusu Mipaka Ya Kiutendaji.Fahamu zaidi hapa.
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob na Mkuu wa
wilaya hiyo, Paul Makonda wameingia kwenye mvutano kuhusu kuvuka mipaka
ya utendaji wa halmashauri hiyo.
Mvutano huo umekuja baada ya
Jacob… Read More
#YALIYOJIRI>>>Shule ya Sekondari Ilboru sasa Kuchuja Wanafunzi.Fahamu zaidi hapa.
Kufuatia kutofanya vizuri kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne,
shule ya sekondari ya watoto wenye vipaji maalumu, IIboru itaanza
kuwachuja wanafunzi wasio na uwezo wanaopangiwa kusoma shuleni hapo.
Mkuu… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mahakama yatupilia mbali kesi ya Frederick Mwakalebela Kupinga Ubunge wa Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).Fahamu zaidi hapa.
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imetupilia mbali kesi ya kupinga matokeo
yaliyompa Ubunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema),
iliyofunguliwa na aliyekuwa mpinzani wake kwenye Uchaguzi huo, Frederick
Mwakalebe… Read More
MUONEKANO WA DARAJA LA WATEMBEA KWA MIGUU LA FURAISHA JIJINI MWANZA LITAKAVYOKUWA BAADA KUJENGWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Majipu Yaendelea Kutumbuliwa,Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Asimamishwa Kazi.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
wa nchi,ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala
bora,Angella Kairuki amemsimisha kazi mkuu wa chuo cha utumishi wa umma
nchini Said Nassoro kutoka na uzembe ulioisababishia serikali&nb… Read More
0 comments:
Post a Comment