NW Stella Manyanya (kushoto) akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Bi. Levina Mrema (kulia).
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi Stella Manyanya
amemsimamisha kazi aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii
Bunamhala, Bw. Ramadhani Said kilichopo Halmashauri ya Mji wa Bariadi
Mkoani Simiyu, kutokana na utendaji usioridhisha na kumteua Bi. Levina
Mrema kushikilia wadhifa huo.
Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii, Bunamhala Ramadhani Saidi
(Aliyesimama) akitoa maelezo juu ya chuo hicho kwa Naibu Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (hayupo pichani)
wakati wa ziara yake.Chanzo ni "www.wavuti.com"
0 comments:
Post a Comment