Moto mkubwa umezuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) usiku wa leo na kusababisha taharuki kubwa kwa wasafiri na watumiaji wa uwanja huo, ambapo imelazimu shughuli zote uwanjani hapo kusitishwa kwa muda wakati vikosi vya zimamoto vikiendelea na kazi yao kwenye uwanja huu mkubwa zaidi nchini Tanzania.
Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege, Martin Otieno ameuambia
mtandao huu kuwa wamefanikiwa kuudhibiti moto huo na kwamba uchunguzi wa
kina juu ya chanzo cha moto huo na hasara iliyosababisha, unaendelea
kufanyika na kwamba tayari shughuli zote za kawaida zinaendelea kama
kawaida.
Taarifa zaidi, zitatolewa baadaye endelea kufatilia hii Blog>>>"www.hebronmalele.blogspot.com"
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
0 comments:
Post a Comment