Baada
ya kuzomewa na mashabiki kwa mechi mbili mfululizo kutokana na kutoka
sare ya 0-0 katika mechi zote, hatimaye Brazil imeamka.
Imeitwanga Denmark kwa mabao 4-0 na kutonga robo fainali ya Michezo ya Olimpiki.
Kutokana na ushindi huo, kutoka kundi lao, Brazil na Denmark zote zinasonga robo fainali.
Brazil watakutana na timu nyingine ya Amerika Kusini Colombia na Denmark watawavaa Nigeria.
Denmark: Hojbjerg, Desler (Larsen 64), Gomes, Gregor, Mathiasen, Borsting, Maxso, Jonsson, Bruun Larsen, Vibe, Brock-Madsen (Skov 45)
Subs not used: Fernandes, Rasmussen, Laursen, Emil Larsen, Nielsen
Brazil:
Weverton, Zeca, Marquinhos (Luan 84), Rodrigo Caio, Douglas Santos,
Walace, Renato Augusto (Rodrigo Dourado 79), Gabriel, de Jesus
Luan, Neymar, Gabriel Jesus
Subs not used: Uilson, Rafinha, William, Felipe Anderson.
0 comments:
Post a Comment