Thursday, 11 August 2016

#MICHEZO>>>>WAWA AREJEA KIKOSINI AZAM FC, NA KUANZA MAZOEZI MEPESI YA GYM.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Beki kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Pascal Wawa, alivyoanza mazoezi mepesi ya gym leo Alhamisi asubuhi chini ya uangalizi wa Mtaalamu wa Viungo wa timu hiyo, Sergio Perez Soto, baada ya kupata ahueni ya majeraha yake ya goti.
-----------------------------------------------------------
Azam FC center back, Pascal Wawa, has done his first gym training today morning after recovering from knee injury. He trained under the watchful eye of team Doctor, Sergio Perez Soto.
‪#‎PascalWawaIsBack‬
PICHA ZAIDI HIZI HAPA CHINI.


Related Posts:

0 comments:

Post a Comment