Thursday 26 May 2016

#MICHEZO>>>FARID MUSSA APATA RUHUSA YA BOSS WA AZAM KWENDA HISPANIA.Fahamu zaidi hapa.

 Maendeleo ya soka katika nchi zinazoendelea hususani nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki linahitaji watu wenye kujua thamani ya vipaji na namna ya kuviendeleza tofauti na watu wenye kutaka faida kubwa kabla ya kuweka mazingira mazuri ya kupata faida hizo.
 
 Wiki tatu zilizopita kiungo wa Azam FC Farid Musa alikuwa kwenye majaribio huko nchini Hispania kwenye Klabu ya Tennarife inayoshiriki ligi daraja la kwanza na ripoti iliyotumwa Azam inaonesha amefuzu majaribio hayo lakini klabu hiyo haikuwa na nafasi ya kusajili kwa pesa

0 comments:

Post a Comment