Saturday 28 May 2016

Mwanamuziki Khalid Chokoraa kuihama Mapacha.Fahamu zaidi hapa.

Mwanamuziki wa dance Khalid Chuma ‘Chokoraa’ atangaza kujivua umiliki bendi ya Mapacha Watatu, arejea Twanga, atatambulishwa Juni 4 Mango Garden.

0 comments:

Post a Comment