Friday 27 May 2016

#YALIYOJIRI>>>Rais Dkt Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.Fahamu zaidi hapa.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete wakifurahia jambo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment