Saturday 28 May 2016

YALIYOJIRI>>>CHENGE ‘AULA’ TENA BUNGENI.Fahamu zaidi hapa.

BUNGE limefanya mabadiliko ya Kamati zake za Kudumu kwa mara ya nne tangu kuundwa kwake ambayo yamemrudisha Andrew Chenge katika Kamati ya Bajeti kama Mjumbe Mwalikwa.

Mwenyekiti wa Bunge, Najma Giga alitangaza mabadiliko hayo kwa wabunge jana jioni, lakini hakutaja sababu za mabadiliko hayo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bunge, wabunge sita akiwamo Chenge.

0 comments:

Post a Comment