Saturday 28 May 2016

#YALIYOJIRI>>>KUTOKA BUNGENI:SERIKALI YASHAURIWA KUIVUNJA BODI YA SUMATRA.Fahamu zaidi hapa.

Mbunge wa Temeke Jijini Dar es salaam Abdallah Mtolea (CUF) ameitaka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuivunja bodi ya SUMATRA kwa kutosimamia sheria inayotaka watanzania theluthi mbili kuajiriwa wakati meli zinapotia nanga bandarini.

Mtolea amebainisha Bungeni kwamba watu wanaofanya kazi katika meli nyingi zinazoingia nchini siyo watanzania ambapo sheria inataka watanzania theluthi mbili waweze kuajiriwa meli zinapoingia nchini, hivyo kwa kuwa jukumu hilo.

0 comments:

Post a Comment