Hakuna msanii ambae hataki kuwa katika lebo nzuri, hii ni moja ya hatua nzuri ya msanii katika muziki wake.
Abdu Kiba amesema kuwa yuko tayari kujiunga na lebo ya WCB ikiwa
wataweka mkwanja mezani, akiongea katika kipindi cha Planet Bongo Abdu
Kiba aliulizwa kama anaweza kujiunga na lebo ya WCB, Abdu Kiba alijibu “Nipo tayari, naangalia pesa, kama pesa zitakuwepo na watahitaji kufanya kazi na mimi naweza kufanya kazi chini ya lebo hiyo“.
0 comments:
Post a Comment