Madaha Ajikosha, Ampa Tano Makonda..!!..Fahamu zaidi hapa.
MWANAMUZIKI Baby Joseph Madaha amefungukia uamuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda wa kuanza kudili na wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya akisema kuwa, huenda ikasaidia mastaa wengi kubadilika. Akipiga stori na …Read More
Hatma ya Chege na Temba Sasa Hadharani..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amesema yuko mbioni
kukata kiu ya mashabiki wa 'Chege na Temba' kwani bada ya kutoa ngoma
yake ya Kelele za Chura, ngoma inayofuata ni yake na swahiba wake Mh.
Temba kuto…Read More
0 comments:
Post a Comment