Home »
Burudani
» Msanii Rashid Abdallah Makwiro ‘Chid Benz’ ajiunga katika lebo ya WCB.Fahamu zaidi hapa.
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro
al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic
Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond
platnumz.
Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na
pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu mchana wa
leo…
Related Posts:
Video:Bella Fasta awawashia moto wasanii walioandamana kisa filamu za nje.
Msanii wa muziki na filamu, Bella Fasta amefunguka kwa kudai kuwa
hajapendezwa na kitendo cha baadhi ya wasanii wa filamu nchini
kuandamana kupinga filamu za nje, kwa madai hatua hiyo ilitakiwa
kujadiliwa na wasanii wot… Read More
MASOGANGE Matatani, Mahakama Yaagiza Akamatwe.Fahamu zaidi hapa.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hati ya
kukamatwa Msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange (28), baada ya
kushindwa kufika mahakamani mara kwa mara ya pili kesi yake ilipopangwa
kuta… Read More
IDRIS Sultan Atokwa Povu Ukaribu wa Wema, Gabo.
MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa
shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’
ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa
wa filamu Tanzania.
Idris alichapisha katika u… Read More
Yusuph Mlela aomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego.Fahamu zaidi hapa.Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela aamemshutumu rapa Nay Wa Mitego kwa
kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano
waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini.
Baada ya wasanii hao kuandamana w… Read More
Bifu la Mange na Jack Wolper Lafika Pabaya...Wolper Amjibu Mange Hivi.
Bifu la Mange na Wolper lililoanza Jana ghafla linaendelea, Wolper Amjibu Mange Hivi :
"Mange Kimambi,Usinitafute sana kwasababu mm naishi nitakavyo sio utakavyo wala watakavyo,pili Ustar wangu nahisi
mvutano wowote na … Read More
0 comments:
Post a Comment