Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Harmonize Afukungia Kuhusu Kuchunwa Pesa na Wolper.Fahamu zaidi hapa.
Harmonize amekanusha hayo mbele ya camera ya eNewz kwa kusema
“Nyumbani kwa Wolper kuna kaunta ambayo anaweza kunywa vinywaji
atakavyo, pia sioni sababu ya mimi kupendeza na mwanamke wangu
asipendeleze ni lazima nitahakikisha anapendeza kwa kuwa ninampenda”
Harmonize pia alizidi kuweka wazi kuwa mapenzi yake na Wolper
hayaathiri kitu chochote kwenye kusaidia familia ya kwao kwa kuwa hata
kama asingekuwa na Wolper ni lazima angekuwa kwenye mahusiano.
“Siyo kwamba ninatumia pesa nyingi kumridhisha mpenzi wangu na
kusahau familia yatu, Mama yangu na ndugu zangu wanapata pesa za
matumizi kama kawaida kwa kuwa ninafanya kazi”
eatv.tv
Related Posts:
Marekani: Wasanii walivyosherehekea siku ya bangi, 4/20.
Rihanna.
Tyga.
Chris Brown.
Soulja Boy.
Future.
Juelz Santana.
Miley Cyrus.
Rick Ross.
Snoop Dogg.
Asap Rocky.
Download Application ya … Read More
Yusuph Mlela aomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego.Fahamu zaidi hapa.Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela aamemshutumu rapa Nay Wa Mitego kwa
kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano
waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini.
Baada ya wasanii hao kuandamana w… Read More
MASOGANGE Matatani, Mahakama Yaagiza Akamatwe.Fahamu zaidi hapa.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hati ya
kukamatwa Msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange (28), baada ya
kushindwa kufika mahakamani mara kwa mara ya pili kesi yake ilipopangwa
kuta… Read More
Bifu la Mange na Jack Wolper Lafika Pabaya...Wolper Amjibu Mange Hivi.
Bifu la Mange na Wolper lililoanza Jana ghafla linaendelea, Wolper Amjibu Mange Hivi :
"Mange Kimambi,Usinitafute sana kwasababu mm naishi nitakavyo sio utakavyo wala watakavyo,pili Ustar wangu nahisi
mvutano wowote na … Read More
NIKKI wa Pili Aungana na Nay wa Mitego Kuikandia Bongo Movie..Ametoa Povu Hili Zito kwa Kina JB na Wenzake.Fahamu zaidi hapa..
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata
linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai
zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na
kuzinyima fil… Read More
0 comments:
Post a Comment