Muda wa mchana basi la mwendo kasi limepata ajali katika junction ya Sheikh
Yahya Magomeni baada ya gari binafsi kupiga u-turn sehemu isiyoruhusiwa.
Chini ni picha za tukio hilo
Friday, 20 May 2016
Home »
Habari Moto
» Picha za basi jingine la mwendo kasi lililopata ajali muda huu.
Picha za basi jingine la mwendo kasi lililopata ajali muda huu.
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment