Friday 19 January 2018

Aunt Ezekieli: Hama Kweli January ni Mwezi Mgumu.

Wakati watu wengi wakilalamika kuhusu mwezi January na kudai ya kwamba ni mgumu kutokana na majukumu mengi ya mwezi huu, sasa Aunty Ezekiel amezungumza kuhusu mwezi January yeye amesema alikuwa haamini kama January ni ngumu lakini saivi amekubali kuwa mwezi mgumu.

Aunty Ezekiel amesema kwamba yeye hajawahi kukopa kodi ya nyumba wala kitu cha msingi kwenye maisha na ndo mana huwaga anapanga bajeti mapema ya vitu muhimu kama kodi ya nyumba, Ada ya mtoto wake na kitu alichowahi kukopa ni nguo.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment