Thursday 18 January 2018

Mmh! Ili Swali la Zari kwa Diamond Hatari Tupu...... "Ati Madale State Lodge au Madale State Gesti Hause?".

Zari the boss lady ambaye ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz ameonekana kupata taarifa hizo kuhusiana na tetesi zinazoendelea katika mitandao ya kijamii na kuamua kuandika ujumbe kwa Diamond Platnumz kupitia mtandao wa snapchat.

Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekena Tunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao.
Maneno hayo aliyoyaandika Zari kupitia mtandao wa snapchat yanasadikika kuwa yanaweza yakawa yanamlenga Diamond Platnumz kutokana na kudaiwa kuwa anapeleka wasichana Madale kila kukicha.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment