Home »
Burudani
» Studio za Wasafi Records kufungwa kwa muda, hii ndio sababu.Fahamu zaidi hapa.
Studio za Wasafi Records zimefungwa kwa muda kuanzia sasa, sababu za
kuifunga studio hiyo ni kutokana na kupisha Matengenezo yanayoendelea
katika studio hiyo iliyopo Sinza Maapambano.
Katika Mtandao wa Instagram, Diamond Platnumz ameandika “I can’t wait to present to you our @WasafiRecords New Look!…. Still on the Making though
(Tumesimamisha huduma za Studio kidogo kwa sasa tunafanya
marekebisho ili tuzidi kuwapatia kazi bora na hata muonekano mzuri wa
selfie tukiwa kibaruani…. inshaallah siku si nyingi tutakuwa
tumemaliza….@WasafiRecordsHouse Of Hits!) @red_interiors.“
Related Posts:
Team Wema Wamfanyia Wema 'Suprise' Kubwa Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa.
Ikiwa leo Septemba 28, 2017, mwigizaji mahiri Bongo, Wema Isaac Sepetu
almaarufu Keki ya Taifa, anasheherekea birthday yake, mashabiki wake
wameungana kwa pamoja na kumfanyia surprise akiwa saluni kwa kumpelekea
keki n… Read More
TID Atangaza Nia ya Kugombea Ubunge wa Kinondoni 2020 Je Atamng'oa Mtuli?
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed maarufu kama T.I.D,
ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, kwenye uchaguzi
ujao unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020, na kumng'oa mbunge wa sasa wa
jimbo hilo M… Read More
Shilole Hausiki Kuvunja Ndoa Yangu Bali ni Wazazi wa Nawal- Nuhu Mziwanda.
Mwanamuziki Nuh Mziwanda amekanusha suala linaloongelewa na watu kuwa
kuvunjika kwa mapenzi kati yake na mzazi mwenzie chanzo chake siyo
Shilole bali ni wazazi wa binti huyo.
“Unajua watanzania ukiwapa picha tu, basi wao… Read More
Amber Lulu Afunguka Kuhusu Beef Lake na Gigy Money.
Msanii wa muziki na video vixen Bongo, Amber Lulu amedai kuwa hana beef
na Gigy Money kama ambaavyo imekuwa ikiripotiwa mtandaoni.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Only You’
amesema ni kweli wame… Read More
Muziki wa Ali Kiba ni Mzuri Zaidi ya wa Diamond- Faiza.
Muigizaji wa Filamu Bongo, Faiza Ally amefunguka kuupa zaidi muziki wa Alikiba kuliko ule wa Diamond.
Faiza amesema hayo katika mahojihano na TBC Fm kwa kueleza kuwa Diamond
ni mburudishaji wa jumla aliyeleta mapinduzi ya … Read More
0 comments:
Post a Comment