Wednesday 4 May 2016

HUYU NDO MAMA YAKE GARDNER G HABASH.Fahamu zaidi hapa.

“Mara yangu ya kwanza kuja Dar mwanzoni mwa miaka ya 90 nilikuja kulipa ada ya chuo kwa fedha aliyonipa mama. Nakumbuka aliniwekea fedha hizo ktk mfuko wa ndani wa koti na kisha akaushona mfuko huo ili nisiibiwe fedha hiyo. Kisha akasema, HII NDIYO KARATA YAKO YA MWISHO ITUMIE VIZURI USOME. Mungu bariki nilifika salama na nikakamilisha kilichonileta na kurudi Tanga na leo nashukuru Mungu niko hapa. ‪#‎ASANTEBIMKUBWA‬” @captaintanzania amefunguka hayo kwa Bi mkubwa wake ‪#‎AsanteMama‬ cC @cloudstv @choicefmtz @clouds_digital

0 comments:

Post a Comment