Wednesday 30 September 2015

#Breaking News>>Abiria washindwa kuendelea na Safari ya Reli ya kati.Fahamu zaidi hapa.

Abiria waliokuwa wanasafiri kwa kutumia Treni ya kati kutoka DSM kuelekea Morogoro,Dodoma,Tabora,Mwanza na Kigoma wamekwama kuendelea na safari yao toka jana baada ya Treni hiyo kufika kituo cha Pugu na kuambiwa mbele kuna ajali hivyo hawawezi kuendelea na Safari.

0 comments:

Post a Comment