Saturday 12 September 2015

#YALIYOJIRI>>> REGINA LOWASSA akiwatembealea wafanya Biashara wadogo wadogo na kujua kelo zao.

 REGINA LOWASSA akiwa anamuuliza Mfanya Biashara wa Genge anakutana na changamoto gani wakati wa Biashara yake.
REGINA LOWASSA akiwa anaongea Mfanya Biashara wa Mchele,Unga,Mafuta,Maharage,Chumvi  anakutana na changamoto gani wakati wa Biashara yake.

REGINA LOWASSA akiwa anaongea na Mfanya Biashara wa vyombo  anakutana na changamoto gani wakati wa Biashara yake.

0 comments:

Post a Comment