Monday 21 September 2015

#YALIYOJIRI>>> Mgombea kupitia Chadema UKAWA Edward Lowassa awa gumzo huko Mbagara baada ya kukutana na mapokezi makubwa.Fahamu zaidi hapa.



 Mgombea kupitia Chadema UKAWA Edward Lowassa  akiwa anautubia Wananchi wa Mbagara.
 Ndani ya Mbagara  Mgombea kupitia Chadema UKAWA Edward Lowassa Akiwa na Mboe.
  Wananchi wa Mbagara wakiwa wamepanda hadi kwenye Mabango kumsikiliza Mgombea kupitia Chadema UKAWA Edward Lowassa
Mama huyu nae ayupo nyuma kutaka Mabadiliko.

0 comments:

Post a Comment